Native Bible

Ezekiel 35:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya mlima Seiri, utabiri dhidi yake

Ezekiel 35:2 in English

Ezekiel 35:2 · Berean Standard Bible

“Son of man, set your face against Mount Seir and prophesy against it,

Context

1Neno la Bwana likanijia kusema: 2“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya mlima Seiri, utabiri dhidi yake 3na useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume nawe, ee mlima Seiri, nami nitanyoosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya ukiwa na usiyekaliwa na watu wala kulimika. 4Nitaifanya miji yako kuwa magofu nawe utakuwa ukiwa. Ndipo utakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.