Ezekieli 27:36
Ezekiel 27:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wafanyabiashara miongoni mwa mataifa wanakucheka; umefikia mwisho wa kutisha nawe hutakuwepo tena.’ ”
Ezekiel 27:36 in English
Ezekiel 27:36 · Berean Standard Bible
Those who trade among the nations hiss at you; you have come to a horrible end and will be no more.’”
Context
34Sasa umevunjavunjwa na bahari,
katika vilindi vya maji,
bidhaa zako na kundi lako lote
vimezama pamoja nawe. 35Wote waishio katika nchi za pwani
wanakustaajabia;
wafalme wao wanatetemeka kwa hofu kuu,
nazo nyuso zao zimekunjamana kwa woga. 36Wafanyabiashara miongoni mwa mataifa wanakucheka;
umefikia mwisho wa kutisha
nawe hutakuwepo tena.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.