Native Bible

Ezekiel 24:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

siku hiyo atakayetoroka atakuja kuwapasha habari.

Ezekiel 24:26 in English

Ezekiel 24:26 · Berean Standard Bible

on that day a fugitive will come and tell you the news.

Context

24Ezekieli atakuwa ishara kwenu, mtafanya kama yeye alivyofanya. Wakati jambo hili litakapotokea, mtajua kuwa Mimi ndimi Bwana Mwenyezi.’ 25“Nawe, mwanadamu, siku ile nitakapoondoa ngome yao iliyo furaha yao na utukufu wao, kitu cha kupendeza macho yao, kile kilicho shauku ya mioyo yao, wana wao na binti zao vilevile, 26siku hiyo atakayetoroka atakuja kuwapasha habari. 27Katika siku ile kinywa chako kitamfumbukia yeye aliyenusurika, nawe utaongea wala hutanyamaza tena. Hivyo wewe utakuwa ishara kwao, nao watajua kuwa Mimi ndimi Bwana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.