Native Bible

Ezekiel 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaniambia, “Mwanadamu, simama kwa miguu yako nami nitasema nawe.”

Ezekiel 2:1 in English

Ezekiel 2:1 · Berean Standard Bible

“Son of man,*” He said to me, “stand up on your feet and I will speak to you.”

Context

1Akaniambia, “Mwanadamu, simama kwa miguu yako nami nitasema nawe.” 2Alipokuwa akiongea nami, Roho akanijia na kunisimamisha wima, nikamsikia akisema nami. 3Akaniambia: “Mwanadamu, ninakutuma kwa Waisraeli, kwa taifa asi ambalo limeniasi mimi, wao na baba zao wananikosea mimi hadi leo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.