Ezekieli 16:21
Ezekiel 16:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uliwachinja watoto wangu na kuwatoa kafara kwa sanamu.
Ezekiel 16:21 in English
Ezekiel 16:21 · Berean Standard Bible
You slaughtered My children and delivered them up through the fire to idols.
Context
19Pia chakula changu nilichokupa ili ule: unga laini, mafuta ya zeituni na asali, ulivitoa mbele yao kuwa uvumba wa harufu nzuri. Hayo ndiyo yaliyotokea, asema Bwana Mwenyezi. 20“ ‘Nawe uliwachukua wanao na binti zako ulionizalia mimi na kuwatoa kafara kuwa chakula kwa sanamu. Je, ukahaba wako haukukutosha? 21Uliwachinja watoto wangu na kuwatoa kafara kwa sanamu. 22Katika matendo yako yote ya machukizo, pamoja na ukahaba wako hukukumbuka siku za ujana wako, wakati ulipokuwa uchi kabisa bila kitu chochote, ulipokuwa ukigaagaa kwenye damu yako. 23“ ‘Ole! Ole wako! Asema Bwana Mwenyezi. Pamoja na maovu yako yote mengine,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.