Native Bible

Ezekiel 13:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neno la Bwana likanijia kusema:

Ezekiel 13:1 in English

Ezekiel 13:1 · Berean Standard Bible

Then the word of the LORD came to me, saying,

Context

1Neno la Bwana likanijia kusema: 2“Mwanadamu, tabiri dhidi ya manabii wa Israeli wanaotabiri sasa. Waambie hao ambao hutabiri kutokana na mawazo yao wenyewe: ‘Sikia neno la Bwana! 3Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ole wao manabii wapumbavu wafuatao roho yao wenyewe na wala hawajaona chochote!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.