Native Bible

Ezekiel 11:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitawaondoa mtoke katika mji na kuwatia mikononi mwa wageni nami nitawaadhibu.

Ezekiel 11:9 in English

Ezekiel 11:9 · Berean Standard Bible

I will bring you out of the city and deliver you into the hands of foreigners, and I will execute judgments against you.

Context

7“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: maiti ulizozitupa huko ni nyama na mji huu ni chungu, lakini nitawaondoa mtoke huko. 8Mnaogopa upanga, nao upanga huo ndio nitakaouleta juu yenu, asema Bwana Mwenyezi. 9Nitawaondoa mtoke katika mji na kuwatia mikononi mwa wageni nami nitawaadhibu. 10Mtaanguka kwa upanga, nami nitatimiza hukumu dhidi yenu katika mipaka ya Israeli. Ndipo mtajua kuwa Mimi ndimi Bwana. 11Mji huu hautakuwa chungu kwa ajili yenu, wala hamtakuwa nyama ndani yake. Nitatoa hukumu dhidi yenu katika mipaka ya Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.