Native Bible

Exodus 6:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nenda, mwambie Farao mfalme wa Misri awaachie Waisraeli waondoke nchini mwake.”

Exodus 6:11 in English

Exodus 6:11 · Berean Standard Bible

“Go and tell Pharaoh king of Egypt to let the Israelites go out of his land.”

Context

9Mose akawaarifu Waisraeli jambo hili, lakini hawakumsikiliza kwa sababu ya maumivu makuu ya moyoni na utumwa wa kikatili. 10Ndipo Bwana akamwambia Mose, 11“Nenda, mwambie Farao mfalme wa Misri awaachie Waisraeli waondoke nchini mwake.” 12Lakini Mose akamwambia Bwana, “Ikiwa Waisraeli hawatanisikiliza, kwa nini yeye Farao anisikilize mimi, ambaye huzungumza kwa kigugumizi?” 13Ndipo Bwana akanena na Mose na Aroni kuhusu Waisraeli na Farao mfalme wa Misri, naye akawaamuru wawatoe Waisraeli kutoka Misri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.