Native Bible

Exodus 6:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Bwana akamwambia Mose,

Exodus 6:10 in English

Exodus 6:10 · Berean Standard Bible

So the LORD said to Moses,

Context

8Nami nitawaleta mpaka nchi niliyoapa kwa mkono ulioinuliwa kumpa Abrahamu, Isaki na Yakobo. Nitawapa iwe milki yenu. Mimi ndimi Bwana.’ ” 9Mose akawaarifu Waisraeli jambo hili, lakini hawakumsikiliza kwa sababu ya maumivu makuu ya moyoni na utumwa wa kikatili. 10Ndipo Bwana akamwambia Mose, 11“Nenda, mwambie Farao mfalme wa Misri awaachie Waisraeli waondoke nchini mwake.” 12Lakini Mose akamwambia Bwana, “Ikiwa Waisraeli hawatanisikiliza, kwa nini yeye Farao anisikilize mimi, ambaye huzungumza kwa kigugumizi?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.