Kutoka 39:9
Exodus 39:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja* na upana wa shibiri moja, nacho kilikunjwa mara mbili.
Exodus 39:9 in English
Exodus 39:9 · Berean Standard Bible
It was square when folded over double, a span long and a span wide.*
Context
7Kisha akavifungia kwenye vipande vya mabega ya kisibau kuwa vito vya ukumbusho kwa wana wa Israeli, kama Bwana alivyomwagiza Mose. 8Akafanyiza kifuko cha kifuani, kazi ya fundi stadi. Akakitengeneza kama kile kisibau: cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, cha kitani safi iliyosokotwa. 9Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja* na upana wa shibiri moja, nacho kilikunjwa mara mbili. 10Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za vito vya thamani. Safu ya kwanza ilikuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi; 11safu ya pili ilikuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.