Kutoka 37:6
Exodus 37:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akatengeneza kifuniko cha upatanisho kwa dhahabu safi: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.
Exodus 37:6 in English
Exodus 37:6 · Berean Standard Bible
He constructed a mercy seat of pure gold, two and a half cubits long and a cubit and a half wide.*
Context
4Kisha akatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu. 5Akaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba. 6Akatengeneza kifuniko cha upatanisho kwa dhahabu safi: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu. 7Kisha akatengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko. 8Akatengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; akawatengeneza kuwa kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.