Native Bible

Exodus 37:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba.

Exodus 37:5 in English

Exodus 37:5 · Berean Standard Bible

He inserted the poles into the rings on the sides of the ark in order to carry it.

Context

3Akasubu pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine. 4Kisha akatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu. 5Akaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba. 6Akatengeneza kifuniko cha upatanisho kwa dhahabu safi: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu. 7Kisha akatengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.