Kutoka 37:29
Exodus 37:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia akatengeneza mafuta matakatifu ya upako, na uvumba safi wenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato.
Exodus 37:29 in English
Exodus 37:29 · Berean Standard Bible
He also made the sacred anointing oil and the pure, fragrant incense, the work of a perfumer.
Context
27Akatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, zikiwa mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko iliyotumika kuyabebea madhabahu. 28Akatengeneza mipiko kwa miti ya mshita na kuifunika kwa dhahabu. 29Pia akatengeneza mafuta matakatifu ya upako, na uvumba safi wenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.