Native Bible

Exodus 37:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akalifunika kwa dhahabu safi ndani na nje, na kulizungushia ukingo wa dhahabu.

Exodus 37:2 in English

Exodus 37:2 · Berean Standard Bible

He overlaid it with pure gold, both inside and out, and made a gold molding around it.

Context

1Bezaleli akatengeneza Sanduku la mbao za mshita: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu,* upana wake dhiraa moja na nusu, na kimo chake dhiraa moja na nusu. 2Akalifunika kwa dhahabu safi ndani na nje, na kulizungushia ukingo wa dhahabu. 3Akasubu pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine. 4Kisha akatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.