Native Bible

Exodus 36:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine.

Exodus 36:16 in English

Exodus 36:16 · Berean Standard Bible

He joined five of the curtains into one set and the other six into another.

Context

14Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani. 15Mapazia hayo kumi na moja yalikuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini,* na upana wa dhiraa nne. 16Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine. 17Kisha wakatengeneza vitanzi hamsini kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu moja, na vivyo hivyo kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu hilo lingine. 18Wakatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.