Kutoka 27:1
Exodus 27:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Jenga madhabahu ya mbao za mti wa mshita, kimo chake kiwe dhiraa tatu;* itakuwa mraba, urefu wake dhiraa tano,* na upana wake dhiraa tano.
Exodus 27:1 in English
Exodus 27:1 · Berean Standard Bible
“You are to build an altar of acacia wood. The altar must be square, five cubits long, five cubits wide, and three cubits high.*
Context
1“Jenga madhabahu ya mbao za mti wa mshita, kimo chake kiwe dhiraa tatu;* itakuwa mraba, urefu wake dhiraa tano,* na upana wake dhiraa tano. 2Tengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu ziwe zimeungana, na ufunike madhabahu kwa shaba. 3Tengeneza vyombo vyake vyote kwa shaba: vyungu vyake vya kuondolea majivu, masepetu, mabakuli ya kunyunyizia, uma za nyama, na vyombo vya kuchukulia moto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.