Native Bible

Exodus 25:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ngozi za kondoo dume zilizopakwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo;* mbao za mshita;

Exodus 25:5 in English

Exodus 25:5 · Berean Standard Bible

ram skins dyed red and fine leather;* acacia wood;

Context

3Hizi ndizo sadaka utakazozipokea kutoka kwao: dhahabu, fedha na shaba; 4nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu, pamoja na kitani safi; singa za mbuzi; 5ngozi za kondoo dume zilizopakwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo;* mbao za mshita; 6mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri; 7na vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.