Kutoka 24:15
Exodus 24:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mose alipopanda juu mlimani, wingu liliufunika huo mlima,
Exodus 24:15 in English
Exodus 24:15 · Berean Standard Bible
When Moses went up on the mountain, the cloud covered it,
Context
13Basi Mose akaondoka na Yoshua mtumishi wake, naye Mose akapanda juu kwenye mlima wa Mungu. 14Mose akawaambia wazee wa Israeli, “Tungojeni hapa mpaka tutakapowarudia. Aroni na Huri wako pamoja nanyi, na kila aliye na neno aweza kuwaendea wao.” 15Mose alipopanda juu mlimani, wingu liliufunika huo mlima, 16nao utukufu wa Bwana ukatua juu ya Mlima Sinai. Kwa muda wa siku sita wingu lilifunika mlima, na siku ya saba Bwana akamwita Mose kutoka katikati ya lile wingu. 17Kwa Waisraeli utukufu wa Bwana ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.