Kutoka 22:31
Exodus 22:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ninyi mtakuwa watu wangu watakatifu. Kwa hiyo msile nyama ya mnyama aliyeraruliwa na wanyama pori; mtupieni mbwa.
Exodus 22:31 in English
Exodus 22:31 · Berean Standard Bible
You are to be My holy people. You must not eat the meat of a mauled animal found in the field; you are to throw it to the dogs.
Context
29“Usiache kutoa sadaka kutoka ghala lako au mapipa yako.
“Lazima unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako. 30Ufanye vivyo hivyo kwa ngʼombe wako na kwa kondoo wako. Waache wakae na mama zao kwa siku saba, lakini siku ya nane unipe. 31“Ninyi mtakuwa watu wangu watakatifu. Kwa hiyo msile nyama ya mnyama aliyeraruliwa na wanyama pori; mtupieni mbwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.