Native Bible

Exodus 20:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiwe na miungu mingine ila mimi.

Exodus 20:3 in English

Exodus 20:3 · Berean Standard Bible

You shall have no other gods before Me.*

Context

1Ndipo Mungu akasema maneno haya yote: 2“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. 3Usiwe na miungu mingine ila mimi. 4Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, au ndani ya maji. 5Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.