Kutoka 2:24
Exodus 2:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu akasikia kilio chao cha huzuni, akakumbuka Agano alilofanya na Abrahamu pamoja na Isaki na Yakobo.
Exodus 2:24 in English
Exodus 2:24 · Berean Standard Bible
So God heard their groaning, and He remembered His covenant with Abraham, Isaac, and Jacob.
Context
22Sipora alizaa mtoto wa kiume, naye Mose akamwita Gershomu, akisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.” 23Baada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli wakalia kwa huzuni katika utumwa wao, walilia na kilio chao cha kutaka msaada kwa ajili ya utumwa kikamfikia Mungu. 24Mungu akasikia kilio chao cha huzuni, akakumbuka Agano alilofanya na Abrahamu pamoja na Isaki na Yakobo. 25Kwa hiyo Mungu akawaangalia Waisraeli na kuwahurumia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.