Native Bible

Exodus 19:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Mose akashuka kwa watu na kuwaambia lile aliloambiwa.

Exodus 19:25 in English

Exodus 19:25 · Berean Standard Bible

So Moses went down to the people and spoke to them.

Context

23Mose akamwambia Bwana, “Watu hawawezi kupanda mlima Sinai kwa sababu wewe mwenyewe ulituonya ukisema, ‘Wekeni mipaka kuuzunguka mlima na kuutenga kama patakatifu.’ ” 24Bwana akajibu, “Shuka ukamlete Aroni pamoja nawe. Lakini makuhani pamoja na watu wasije wakalazimisha kuja kwa Bwana, nisije nikawaadhibu.” 25Basi Mose akashuka kwa watu na kuwaambia lile aliloambiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.