Kutoka 16:2
Exodus 16:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huko jangwani hiyo jumuiya yote wakawanungʼunikia Mose na Aroni.
Exodus 16:2 in English
Exodus 16:2 · Berean Standard Bible
And there in the desert they all grumbled against Moses and Aaron.
Context
1Jumuiya yote ya Kiisraeli ikaondoka Elimu, wakafika Jangwa la Sini, lililokuwa kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka Misri. 2Huko jangwani hiyo jumuiya yote wakawanungʼunikia Mose na Aroni. 3Waisraeli wakawaambia, “Laiti tungelikufa kwa mkono wa Bwana huko Misri! Huko tuliketi tukizunguka masufuria ya nyama na tukala vyakula tulivyovitaka, lakini ninyi mmetuleta huku jangwani ili mpate kuua mkutano huu wote kwa njaa.” 4Kisha Bwana akamwambia Mose, “Nitanyesha mikate kutoka mbinguni kwa ajili yenu. Watu watatoka kila siku na kukusanya kitakachowatosha kwa siku ile, kwa njia hii, nitawajaribu nione kama watafuata maelekezo yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.