Native Bible

Exodus 12:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose na Aroni katika nchi ya Misri,

Exodus 12:1 in English

Exodus 12:1 · Berean Standard Bible

Now the LORD said to Moses and Aaron in the land of Egypt,

Context

1Bwana akamwambia Mose na Aroni katika nchi ya Misri, 2“Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu, yaani mwezi wa kwanza wa mwaka wenu. 3Iambie jumuiya yote ya Israeli kwamba katika siku ya kumi ya mwezi huu, kila mtu atatwaa mwana-kondoo mmoja kwa ajili ya familia yake, mmoja kwa kila nyumba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.