Esta 6:5
Esther 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watumishi wake wakamjibu, “Hamani amesimama uani.” Mfalme akaamuru, “Mleteni ndani.”
Esther 6:5 in English
Esther 6:5 · Berean Standard Bible
So the king’s attendants answered him, “Haman is there, standing in the court.” “Bring him in,” ordered the king.
Context
3Mfalme akauliza, “Je, ni heshima na shukrani gani Mordekai alipokea kwa ajili ya jambo hili?”
Watumishi wake wakajibu, “Hakuna lolote alilofanyiwa.” 4Mfalme akasema, “Ni nani yuko uani?” Wakati huo huo Hamani alikuwa ameingia ua wa nje wa jumba la mfalme kusema na mfalme kuhusu kumwangika Mordekai katika mahali pa kuangikia watu alipokuwa amepajenga kwa ajili yake. 5Watumishi wake wakamjibu, “Hamani amesimama uani.”
Mfalme akaamuru, “Mleteni ndani.” 6Hamani alipoingia, mfalme alimuuliza, “Afanyiwe nini mtu ambaye mfalme apenda kumheshimu?”
Basi Hamani akawaza moyoni mwake, “Ni nani mwingine ambaye mfalme angemheshimu kuliko mimi?” 7Kwa hiyo akamjibu mfalme, “Kwa mtu ambaye mfalme apenda kumheshimu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.