Waefeso 6:17
Ephesians 6:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu.
Ephesians 6:17 in English
Ephesians 6:17 · Berean Standard Bible
And take the helmet of salvation and the sword of the Spirit, which is the word of God.
Context
15nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani. 16Zaidi ya haya yote, twaeni ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. 17Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu. 18Mkiomba kwa Roho siku zote katika sala zote na maombi, mkikesha kila wakati mkiwaombea watakatifu wote. 19Niombeeni na mimi pia, ili kila nifunguapo kinywa changu, nipewe maneno ya kusema, niweze kutangaza siri ya Injili kwa ujasiri,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.