Waefeso 6:15
Ephesians 6:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani.
Ephesians 6:15 in English
Ephesians 6:15 · Berean Standard Bible
and with your feet fitted with the readiness of the gospel of peace.
Context
13Kwa hiyo vaeni silaha zote za Mungu ili mweze kushindana siku ya uovu itakapokuja nanyi mkiisha kufanya yote, simameni imara. 14Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani, 15nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani. 16Zaidi ya haya yote, twaeni ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. 17Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.