Native Bible

Ephesians 5:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siri hii ni kubwa, bali mimi nanena kuhusu Kristo na Kanisa.

Ephesians 5:32 in English

Ephesians 5:32 · Berean Standard Bible

This mystery is profound, but I am speaking about Christ and the church.

Context

30Sisi tu viungo vya mwili wake. 31“Kwa sababu hii, mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.” 32Siri hii ni kubwa, bali mimi nanena kuhusu Kristo na Kanisa. 33Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.