Native Bible

Ephesians 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo, mfuateni Mungu kama watoto wapendwao,

Ephesians 5:1 in English

Ephesians 5:1 · Berean Standard Bible

Be imitators of God, therefore, as beloved children,

Context

1Kwa hiyo, mfuateni Mungu kama watoto wapendwao, 2mkiishi maisha ya upendo, kama vile Kristo alivyotupenda sisi akajitoa kwa ajili yetu kuwa sadaka yenye harufu nzuri na dhabihu kwa Mungu. 3Lakini uasherati, usitajwe miongoni mwenu, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa, kwa sababu mambo haya hayastahili miongoni mwa watakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.