Waefeso 4:21
Ephesians 4:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama hivyo ndivyo ilivyo, ninyi mmemsikia, tena mmefundishwa naye, vile kweli ilivyo katika Yesu.
Ephesians 4:21 in English
Ephesians 4:21 · Berean Standard Bible
Surely you heard of Him and were taught in Him—in keeping with the truth that is in Jesus—
Context
19Wakiisha kufa ganzi, wamejitia katika mambo ya ufisadi na kupendelea kila aina ya uchafu, wakiendelea kutamani zaidi. 20Lakini ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Kristo. 21Kama hivyo ndivyo ilivyo, ninyi mmemsikia, tena mmefundishwa naye, vile kweli ilivyo katika Yesu. 22Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu, 23ili mfanywe upya roho na nia zenu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.