Waefeso 2:1
Ephesians 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa habari zenu, mlikuwa wafu katika makosa na dhambi zenu,
Ephesians 2:1 in English
Ephesians 2:1 · Berean Standard Bible
And you were dead in your trespasses and sins,
Context
1Kwa habari zenu, mlikuwa wafu katika makosa na dhambi zenu, 2ambazo mlizitenda mlipofuatisha namna ya ulimwengu huu na za yule mtawala wa ufalme wa anga, yule roho atendaye kazi sasa ndani ya wale wasiotii. 3Sisi sote pia tuliishi katikati yao hapo zamani, tukitimiza tamaa za asili yetu ya dhambi na kufuata tamaa zake na mawazo yake. Nasi kwa asili tulikuwa wana wa ghadhabu, kama mtu mwingine yeyote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.