Native Bible

Ecclesiastes 9:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Daima uvae nguo nyeupe na daima upake kichwa chako mafuta.

Ecclesiastes 9:8 in English

Ecclesiastes 9:8 · Berean Standard Bible

Let your garments always be white, and never spare the oil for your head.

Context

6Upendo wao, chuki yao na wivu wao vimetoweka tangu kitambo, kamwe hawatakuwa tena na sehemu katika lolote linalotendeka chini ya jua. 7Nenda, kula chakula chako kwa furaha, unywe divai yako kwa moyo wa shangwe, kwa maana sasa Mungu anakubali unachofanya. 8Daima uvae nguo nyeupe na daima upake kichwa chako mafuta. 9Furahia maisha na mke wako, umpendaye, siku zote za maisha ya ubatili uliyopewa na Mungu chini ya jua, siku zote za ubatili. Kwa maana hili ndilo fungu lako katika maisha na katika kazi yako ya taabu chini ya jua. 10Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.