Native Bible

Ecclesiastes 9:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima ni bora kuliko silaha za vita, lakini mwenye dhambi mmoja huharibu mema mengi.

Ecclesiastes 9:18 in English

Ecclesiastes 9:18 · Berean Standard Bible

Wisdom is better than weapons of war, but one sinner destroys much good.

Context

16Kwa hiyo, nikasema, “Hekima ni bora kuliko nguvu.” Lakini hekima ya maskini imedharauliwa, wala hakuna anayesikiliza maneno yake. 17Maneno ya utulivu ya mwenye hekima husikiwa kuliko makelele ya mtawala wa wapumbavu. 18Hekima ni bora kuliko silaha za vita, lakini mwenye dhambi mmoja huharibu mema mengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.