Native Bible

Ecclesiastes 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimeona ubaya mwingine chini ya jua, nao unalemea sana wanadamu:

Ecclesiastes 6:1 in English

Ecclesiastes 6:1 · Berean Standard Bible

There is another evil I have seen under the sun, and it weighs heavily upon mankind:

Context

1Nimeona ubaya mwingine chini ya jua, nao unalemea sana wanadamu: 2Mungu humpa mwanadamu utajiri, mali na heshima, hivyo hakukosa chochote moyo wake unachokitamani. Lakini Mungu hamwezeshi kuvifurahia, badala yake mgeni ndiye anayevifurahia. Hili ni ubatili, ni ubaya unaosikitisha. 3Mtu anaweza kuwa na watoto mia moja naye akaishi miaka mingi, lakini haidhuru kuwa ataishi muda mrefu kiasi gani, kama hawezi kufurahia mafanikio yake na kwamba hapati mazishi ya heshima, ninasema afadhali mtoto aliyezaliwa akiwa amekufa kuliko yeye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.