Mhubiri 5:17
Ecclesiastes 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siku zake zote hula gizani, pamoja na fadhaa kubwa, mateso na hasira.
Ecclesiastes 5:17 in English
Ecclesiastes 5:17 · Berean Standard Bible
Moreover, all his days he eats in darkness, with much sorrow, sickness, and anger.
Context
15Mtu hutoka tumboni mwa mama yake uchi,
naye jinsi alivyokuja vivyo hivyo huondoka.
Hachukui chochote kutokana na kazi yake
ambacho anaweza kukibeba mkononi mwake. 16Hili nalo ni baya la kusikitisha:
Kama vile mtu ajavyo, vivyo hivyo huondoka,
naye anapata faida gani,
maadamu hutaabika kwa ajili ya upepo? 17Siku zake zote hula gizani,
pamoja na fadhaa kubwa,
mateso na hasira. 18Ndipo nikatambua kwamba ni vyema na sahihi kwa mtu kula na kunywa na kutosheka katika kazi yake ngumu chini ya jua katika siku chache za maisha yake Mungu alizompa, kwa maana hili ndilo fungu lake. 19Zaidi ya yote, Mungu anapompa mtu yeyote utajiri na milki, humwezesha kuvifurahia, kukubali fungu lake na kuwa na furaha katika kazi yake, hii ni karama ya Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.