Mhubiri 3:14
Ecclesiastes 3:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninajua kwamba kila kitu anachokifanya Mungu kitadumu milele, hakuna kinachoweza kuongezwa au kupunguzwa. Mungu hufanya hivyo ili watu wamche yeye.
Ecclesiastes 3:14 in English
Ecclesiastes 3:14 · Berean Standard Bible
I know that everything God does endures forever; nothing can be added to it or taken from it. God does it so that they should fear Him.
Context
12Ninajua kwamba hakuna kitu bora kwa wanadamu kuliko kuwa na furaha na kutenda mema wakati wanapoishi. 13Tena ni karama ya Mungu kila mtu apate kula na kunywa na kujiburudisha kwa mema katika kazi yake yote. 14Ninajua kwamba kila kitu anachokifanya Mungu kitadumu milele, hakuna kinachoweza kuongezwa au kupunguzwa. Mungu hufanya hivyo ili watu wamche yeye. 15Chochote kilichopo kilishakuwepo,
na kitakachokuwepo kimekwishakuwepo kabla;
naye Mungu huyaita yale yaliyopita yarudi tena. 16Pia nikaona kitu kingine tena chini ya jua:
Mahali pa kutolea hukumu,
uovu ulikuwepo,
mahali pa kupatia haki,
uovu ulikuwepo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.