Mhubiri 2:1
Ecclesiastes 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nikafikiri moyoni mwangu, “Haya basi, nitakujaribu kwa anasa nione ni lipi lililo jema.” Lakini hilo nalo likaonekana ni ubatili.
Ecclesiastes 2:1 in English
Ecclesiastes 2:1 · Berean Standard Bible
I said to myself, “Come now, I will test you with pleasure; enjoy what is good!” But it proved to be futile.
Context
1Nikafikiri moyoni mwangu, “Haya basi, nitakujaribu kwa anasa nione ni lipi lililo jema.” Lakini hilo nalo likaonekana ni ubatili. 2Nikasema, “Kicheko nacho ni upumbavu. Nayo matokeo ya anasa ni nini?” 3Nikajaribu kujifurahisha kwa mvinyo na kukumbatia upumbavu, huku bado akili yangu inaniongoza kwa hekima. Nilitaka kuona ni lipi bora watu wafanye kwa siku chache wanazoishi chini ya mbingu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.