Native Bible

Ecclesiastes 10:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume, lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto.

Ecclesiastes 10:2 in English

Ecclesiastes 10:2 · Berean Standard Bible

A wise man’s heart inclines to the right, but the heart of a fool to the left.

Context

1Kama vile nzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. 2Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume, lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto. 3Hata anapotembea barabarani, mpumbavu hukosa ufahamu na kudhihirisha kwa kila mmoja jinsi alivyo mpumbavu. 4Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, usiache mahali pako, utulivu huweza kuzuia makosa mengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.