Mhubiri 10:1
Ecclesiastes 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama vile nzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima.
Ecclesiastes 10:1 in English
Ecclesiastes 10:1 · Berean Standard Bible
As dead flies bring a stench to the perfumer’s oil, so a little folly outweighs wisdom and honor.
Context
1Kama vile nzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato,
ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. 2Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume,
lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto. 3Hata anapotembea barabarani,
mpumbavu hukosa ufahamu
na kudhihirisha kwa kila mmoja
jinsi alivyo mpumbavu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.