Kumbukumbu 9:24
Deuteronomy 9:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mmekuwa waasi dhidi ya Bwana tangu nilipowajua ninyi.
Deuteronomy 9:24 in English
Deuteronomy 9:24 · Berean Standard Bible
You have been rebelling against the LORD since the day I came to know you.
Context
22Pia mlimkasirisha Bwana huko Tabera, Masa na Kibroth-Hataava. 23Vilevile wakati Bwana alipowatuma kutoka Kadesh-Barnea, alisema, “Kweeni, mkaimiliki nchi ambayo nimewapa.” Lakini mliasi dhidi ya agizo la Bwana Mungu wenu. Hamkumtegemea wala kumtii. 24Mmekuwa waasi dhidi ya Bwana tangu nilipowajua ninyi. 25Nilianguka kifudifudi mbele za Bwana kwa zile siku arobaini usiku na mchana kwa sababu Bwana alikuwa amesema angewaangamiza ninyi. 26Nilimwomba Bwana na kusema, “Ee Bwana Mwenyezi, usiangamize watu wako, urithi wako mwenyewe ule ulioukomboa kwa uweza wako mkuu na kuwatoa katika nchi ya Misri kwa mkono wenye nguvu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.