Native Bible

Deuteronomy 4:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

pamoja na eneo lote la Araba mashariki ya Yordani, na kuenea mpaka Bahari ya Araba kwenye miteremko ya Pisga.

Deuteronomy 4:49 in English

Deuteronomy 4:49 · Berean Standard Bible

including all the Arabah on the east side of the Jordan and as far as the Sea of the Arabah,* below the slopes of Pisgah.

Context

47Waliimiliki nchi yake na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, wafalme wawili Waamori waliotawala mashariki ya Yordani. 48Nchi hii ilienea kutoka Aroeri ukingoni mwa Bonde la Arnoni mpaka Mlima Sioni (yaani Hermoni), 49pamoja na eneo lote la Araba mashariki ya Yordani, na kuenea mpaka Bahari ya Araba kwenye miteremko ya Pisga.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.