Kumbukumbu 32:47
Deuteronomy 32:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siyo maneno matupu tu kwenu, bali ni uzima wenu. Kwa hayo mtaishi maisha marefu katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.”
Deuteronomy 32:47 in English
Deuteronomy 32:47 · Berean Standard Bible
For they are not idle words to you, because they are your life, and by them you will live long in the land that you are crossing the Jordan to possess.”
Context
45Mose alipomaliza kuyasoma maneno haya yote kwa Israeli wote, 46akawaambia, “Yawekeni moyoni maneno yote ambayo nimewatangazia kwa makini siku hii ya leo, ili kwamba mpate kuwaagiza watoto wenu wayatii kwa bidii maneno yote ya sheria hii. 47Siyo maneno matupu tu kwenu, bali ni uzima wenu. Kwa hayo mtaishi maisha marefu katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.” 48Siku hiyo hiyo Bwana akamwambia Mose, 49“Kwea katika mapangano ya Mlima Abarimu hadi kilima cha Nebo kilichoko Moabu, ngʼambo ya Yeriko, na uitazame Kanaani, nchi ninayowapa Waisraeli kama milki yao wenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.