Native Bible

Deuteronomy 29:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mnaosimama hapa na sisi leo mbele za Bwana Mungu wetu, bali pia pamoja na wale ambao hawapo hapa leo.

Deuteronomy 29:15 in English

Deuteronomy 29:15 · Berean Standard Bible

but also with those who are standing here with us today in the presence of the LORD our God, as well as with those who are not here today.

Context

13kuwathibitisha ninyi siku hii ya leo kama taifa lake, ili aweze kuwa Mungu wenu kama alivyowaahidi na kama alivyowaapia baba zenu Abrahamu, Isaki na Yakobo. 14Ninafanya Agano hili pamoja na kiapo chake, sio na ninyi tu 15mnaosimama hapa na sisi leo mbele za Bwana Mungu wetu, bali pia pamoja na wale ambao hawapo hapa leo. 16Ninyi wenyewe mnajua jinsi tulivyoishi nchini Misri na jinsi tulivyopita katikati ya nchi mpaka tukafika hapa. 17Mliona miongoni mwao vinyago vyao vya kuchukiza na sanamu za miti na mawe, za fedha na dhahabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.