Native Bible

Deuteronomy 24:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikiwa mtu atamwoa mke na akamchukia kwa sababu ya kukosa adabu, naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake,

Deuteronomy 24:1 in English

Deuteronomy 24:1 · Berean Standard Bible

If a man marries a woman, but she becomes displeasing to him because he finds some indecency in her, he may write her a certificate of divorce,* hand it to her, and send her away from his house.

Context

1Ikiwa mtu atamwoa mke na akamchukia kwa sababu ya kukosa adabu, naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake, 2ikiwa baada ya kuondoka nyumbani kwake atakuwa mke wa mtu mwingine, 3ikiwa mume wake wa pili atachukizwa naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake, au kama akifa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.