Kumbukumbu 23:24
Deuteronomy 23:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ukiingia katika shamba la mizabibu la jirani yako, unaweza kula zabibu kadiri utakavyo, lakini usiweke chochote kwenye kikapu chako.
Deuteronomy 23:24 in English
Deuteronomy 23:24 · Berean Standard Bible
When you enter your neighbor’s vineyard, you may eat your fill of grapes, but you must not put any in your basket.
Context
22Lakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia. 23Chochote kitakachotamkwa kwa midomo yako ni lazima uhakikishe umekifanya, kwa sababu uliweka nadhiri yako kwa hiari mbele za Bwana Mungu wako kwa kinywa chako mwenyewe. 24Kama ukiingia katika shamba la mizabibu la jirani yako, unaweza kula zabibu kadiri utakavyo, lakini usiweke chochote kwenye kikapu chako. 25Kama ukiingia katika shamba la nafaka la jirani yako, unaweza kukwanyua kwa mikono yako, lakini usikate kwa mundu nafaka iliyosimama.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.