Native Bible

Deuteronomy 23:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikiwa mtumwa amekimbilia kwako, usimrudishe kwa bwana wake.

Deuteronomy 23:15 in English

Deuteronomy 23:15 · Berean Standard Bible

Do not return a slave to his master if he has taken refuge with you.

Context

13Kama sehemu ya vifaa vyenu kuweni na kitu cha kulimia, nanyi mnapojisaidia, chimba shimo na kisha funika kile kikutokacho. 14Kwa kuwa Bwana Mungu wenu hutembea katika kambi yenu ili kuwalinda na kuwaweka adui zenu mikononi mwenu. Kambi yenu ni lazima iwe takatifu, ili asione kitu chochote miongoni mwenu kilicho kichafu akageuka na kuwaacha. 15Ikiwa mtumwa amekimbilia kwako, usimrudishe kwa bwana wake. 16Mwache aishi miongoni mwenu mahali popote anapopapenda na katika mji wowote anaochagua. Usimwonee. 17Asiwepo Mwisraeli mwanamke kahaba au mwanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.