Native Bible

Deuteronomy 18:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana Mungu wenu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msikilizeni yeye.

Deuteronomy 18:15 in English

Deuteronomy 18:15 · Berean Standard Bible

The LORD your God will raise up for you a prophet like me from among your brothers. You must listen to him.*

Context

13Kamwe msilaumiwe mbele za Bwana Mungu wenu. 14Mataifa mtakayowafukuza husikiliza wale wafanyao ulozi na uaguzi. Lakini kwenu ninyi, Bwana Mungu wenu hajawaruhusu kufanya hivyo. 15Bwana Mungu wenu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msikilizeni yeye. 16Kwa kuwa hivi ndivyo mlivyomwomba Bwana Mungu wenu kule Horebu siku ile ya kusanyiko, wakati mliposema, “Na tusiisikie sauti ya Bwana Mungu wetu, wala kuuona moto huu mkubwa tena, ama sivyo tutakufa.” 17Bwana akaniambia: “Wanachosema ni vyema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.