Native Bible

Deuteronomy 18:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kamwe msilaumiwe mbele za Bwana Mungu wenu.

Deuteronomy 18:13 in English

Deuteronomy 18:13 · Berean Standard Bible

You must be blameless before the LORD your God.

Context

11wala arogaye kwa kupiga mafundo, wala mwaguzi au anayeabudu mizimu, wala awaombaye wafu. 12Mtu yeyote afanyaye mambo haya ni chukizo kwa Bwana, tena ni kwa sababu ya matendo haya ya kuchukiza wayafanyayo ndiyo maana Bwana Mungu wenu atayafukuza mataifa hayo mbele yenu. 13Kamwe msilaumiwe mbele za Bwana Mungu wenu. 14Mataifa mtakayowafukuza husikiliza wale wafanyao ulozi na uaguzi. Lakini kwenu ninyi, Bwana Mungu wenu hajawaruhusu kufanya hivyo. 15Bwana Mungu wenu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msikilizeni yeye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.