Native Bible

Deuteronomy 17:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu wote watasikia na kuogopa, nao hawatakuwa wenye kudharau tena.

Deuteronomy 17:13 in English

Deuteronomy 17:13 · Berean Standard Bible

Then all the people will hear and be afraid, and will no longer behave arrogantly.

Context

11Fanyeni sawasawa na sheria wanayowafundisha na maamuzi wanayowapa. Msigeuke mkono wa kuume au kushoto kuacha kufanya yale wanayowaambia. 12Mwanaume atakayeonyesha dharau kwa mwamuzi au kwa kuhani ambaye amewekwa kumtumikia Bwana Mungu wenu lazima auawe. Lazima mwondoe uovu katika Israeli. 13Watu wote watasikia na kuogopa, nao hawatakuwa wenye kudharau tena. 14Wakati utakapoingia katika nchi anayowapa Bwana Mungu wenu kuimiliki na kukaa humo, nanyi mkasema, “Na tumweke mfalme juu yetu kama mataifa yanayotuzunguka,” 15kuweni na uhakika wa kumweka mfalme juu yenu ambaye Bwana Mungu wenu atamchagua. Ni lazima atoke miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msimweke mgeni juu yenu ambaye si ndugu wa Kiisraeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.