Native Bible

Deuteronomy 16:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wala msisimamishe jiwe la kuabudu, kwa maana Bwana Mungu wenu anavichukia vitu hivi.

Deuteronomy 16:22 in English

Deuteronomy 16:22 · Berean Standard Bible

and do not set up for yourselves a sacred pillar, which the LORD your God hates.

Context

20Mfuate haki na haki peke yake, ili mweze kuishi na kuimiliki nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa. 21Msisimamishe nguzo yoyote ya Ashera kando ya madhabahu mliyomjengea Bwana Mungu wenu, 22wala msisimamishe jiwe la kuabudu, kwa maana Bwana Mungu wenu anavichukia vitu hivi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.